TRA Buzuruga ondoeni haraka sana walinzi hawa wa SUMA JKT

Kila sehemu kuna utaratibu wake wa kuenenda ambazo ni justifiable kwa utamaduni wa eneo husika, sheria walizojiwekea watoa huduma na wakati mwingine kanuni tu za mahalibhusika. Si LAZIMA kutoa justification kwa mlaji wa huduma kwa nini zimewekwa.
Alafu mnategemea mlipa kodi atajileta hapo kufanyiwa tathimini na kulipa kodi???
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Wangempa virungu kabisa...
 
Fuata utaratibu wewe... Nchi ina chelewa kwa sababu ya watu kama nyinyi! Kwahyo kama ni boss wao ndio taratibu zikiukwe?? Acheni undezi hao walinzi wame pewa taratibu wana zisimamia na wanao toa izo taratibu ni hao unao ita maboss... Bunch of idiots
 
Watu wengi mnaenda kweny ofsi za watu mkiwa na majibu yenu,ikitokea ukajibiwa vinginevyo unaanza kuona kama umeonewa.
Hapa jukwaani tutaamini vipi kwamba huyo unaedai ni Mzee alikuwa amevaa kaptula Ndefu?,
Kwa nini wew Tu na huyo Mzee ndo mzuiliwe!
UTAPATA HUDUMA KAMA ULIVYOENDA,
Haiwezekani Mlinzi anakuuliza Pengine Kwa ajili ya Kukuelimisha alaf wewe na hasira zako za Kulipa Kodi unajibu jeuri na wakati umevaa nguo isiyoruhusiwa Kwa akili za kwamba Kwa kuwa unaenda Kulipa Kodi wakuache Tu.
Cha Mwisho Sioni sababu ya hizi lawama kuzielekeza Kwa hao Walinzi wa SUMA JKT Kwa sababu taratibu zote za ofisi wanazolinda SUMA JKT zimewekwa na Ofisi husika,wao ni wasimamiaji tu,
Yaani SUMA JKT aharibu kazi yake Kwa sababu ya kukuruhusu wew na suruali lako la kuchanika wakt alichoambiwa ni kwamba Masuali ya Namna hiyo yasiruhusiwe?
 
Hao jamaa ni wapuuzi Sana. Customer care Yao ni mbovu Sana. Muda mwingi wanakua na hasira kama vile wameombwa kufanya kazi. Suma jkt angalieni mafunzo munayotoa Kwa vijana wenu.
 
Back
Top Bottom