Tra bado hawajaita watu kwenye interview?

xiande

Member
Oct 3, 2012
90
0
dah mkubwa jst deadline ilikuwa tu wik mbili zimepita?wenzako wa utumishi waliomba mwezi wa tano leo na jana ndo wanafanya oral interview ?hapo bado kuwa reallocate kwenye plcs za kazi..hii ndo tz..hizo za tra tegemea mwakani kaka kwa sasa endelea na ishu zqko
 

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
2,932
2,000
Inakera sana dead line ilikuwa trh 13 au 14 ya november ina maana mpaka leo hawajaita,,,au ndo wanataka waptikane wachaga kwanza

Mkuu punguza jazba, kwa taarifa tu Nakumbuka januari TRA walitangaza kazi, interview ya kwanza ambayo ni written ilifanyika March, Watu wakaitwa kazini mwezi wa tano, ambapo walifanya training miezi miwili waka ajiriwa mwezi wa nane. Sasa wewe umetuma maombi juzi tu mara unaanza kulalama dah! Then siku hizi TRA wame-outsource mambo ya recruitment hivyo urasimu ingawa si rahisi kuisha wote but kwa asilimia zaidi ya tisini umepungua. Kwa info zaidi unaweza ni-PM
 

mwana mpendwa

Senior Member
Oct 6, 2012
173
170
sasa, kama unajua kuwa wanaajiri wachaga, then wewe ukaenda kuapply umefuata nini huko? Use your common sense. Usipende kuongea usichokuwa na uhakika nacho.
 

Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,823
2,000
nashukuru wachangiaji wamejibu vema, TRA ni organization kubwa na nyeti ktk nchi hii, kila kukicha inajitahidi kufanya vitu systematic na fair, usiwe na wasiwasi kijana, muda ukifika utaitwa ktk interview cha msingi uwe umetimiza masharti na vigezo vyao.
 

always am a Winner

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
230
250
Jamani vp?

oya em tuliza mcheche huo...watu wengi wameapply usidhan umeapply wewe tu.....tra bado sanaa pengine februari uko ndo wakaanza kuita. we tafuta cha maana cha kufanya kwa mda huu na usahau kwa muda kuhusu interviews or maswali ya tra interviews. jenga tu mazoea ya kusoma about how tra operate na vitu kama ivyo kwa sasa
 
Feb 21, 2012
94
95
oya em tuliza mcheche huo...watu wengi wameapply usidhan umeapply wewe tu.....tra bado sanaa pengine februari uko ndo wakaanza kuita. we tafuta cha maana cha kufanya kwa mda huu na usahau kwa muda kuhusu interviews or maswali ya tra interviews. jenga tu mazoea ya kusoma about how tra operate na vitu kama ivyo kwa sasa

asante
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom