Ungefafanua jinsi mazingira ya unyanyasaji yalivyo, mf kukadiria kodi kubwa, lugha chafu, nk nk, ila kwa hilo ulivyoandika hapo juu hujaweka ushahidi ingetusaidia wengi, kwa ujumla suala la kodi kwenye nchi hii lina ukakasi wa hali ya juu na serikali isipoangalia wengi tutafunga biashara