Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 607
Sidhani kama ni mgomo yawezekana kweli mtandao hakuna na hilo ni suala la kawaida tu...cha msingi wangewka tangazo la tatizo hilo ili kuepuka foleni...Tangu juzi hapa TRA Arusha huduma ya kuprocess Driving licence kitengo cha kupiga picha na finger print hakitoi huduma yoyote licha ya wateja kuwa kwenye msururu bila kupata huduma yoyote. Leo ni siku ya tatu na kisingizio kinachotolewa ni kwamba eti MTANDAO HAMNA.
Watanzania wenye akili hawawezi kuamini wala haingii akilini kusitisha huduma kwa siku 3 kwa kisingizio cha kutokuwepo kwa mtandao. Habari za kuaminika zinasema kuna ka mgomo baridi na suala la mtandao ni kisingizio tu. Na ikithibitika kuwa si mgomo ni mtandao kweli basi hii itamhusu sana huyu mama aliyepo kwenye hiki kitengo kwani kila mtu huwa anamlalamikia kwa jinsi alivyo na nyodo na kufanya kazi kama vile yuko nyumbani kwake.
Kuna wakati anawaona wateja kama omba omba wanaohitaji msaada kwake na hivyo huonyesha dharau bila kujua hao walipiga foleni ndo wanampa justification ya kupata kipato.
Kwa ufupi shughuli zote za upigaji picha na finger print kwa ajili ya Driving Licence hapa Arusha TRA zimekwama tangu juzi.
Ina maana huo mtandao wao ambao unaharibika siku tatu bila kutengenezeka una tofauti gani na mitandao mingine kama ya CRDB ambayo haiwezi katika siku nzima? Lazima kuna uzembe mkubwa kwa upande wa hiyo idara na ikiwezekana stahili ya hao watu warudishwe tu reception au kutoa fomu la sivyo hako ka ugonjwa katageuka kansa
Sidhani kama ni mgomo yawezekana kweli mtandao hakuna na hilo ni suala la kawaida tu...cha msingi wangewka tangazo la tatizo hilo ili kuepuka foleni...
Leo asubuhi wazungu waliokuwa kwenye foleni ndio waliodokezwa tu wakaondoka na wengine wanafuatilia kupigwa picha tangu wiki iliyopita bila mafanikio
Tatizi la mtandao siku tatu hiyo itakuwa ofisi au kijiuchochoro , maana nijuavyo technologia lazima kuwepo na alternative network kama moja wapo inakuwa iko down na hao wanaotoa support wako hapa hapa bongo au ndio wamekata ticket kutoka marekani waje kutatua tatizo ,hii nchi ina vijimambo kweli hatuko hapa kwa bahati mbaya bali ni makusudi ya watawala tuwe masikini.
Mtandao wa ttcl upo chini, baada ya mkonga wa mawasiliano kwenda mikoani kukatwa na mkandarasi anayejenga barabara ya Morogoro tangu wiki iliyopita.
yaa!!!biometrics ndicho kinachotegemewa kwa suala zima la TIN vuta subira nina imani wahusika wanasikitika pia kwa kupoteza mapato lazima watakuwa wanashughulikia kuwa na subira...Inawezekana ni kweli ila inasikitisha kwani hiki kitengo cha kupiga picha na kuchukua finger print ndicho kinachotegemewa mkoa mzima wa Arusha ni kwa jinsi gani kwa siku tatu mfululizo na inawezekana kikaenda hata wiki nzima mtandao unakosekana? Licha ya tangazo kuwekwa lakini bado uwajibikaji wa idara mzima umekuwa wa kizembe sana ktk kutatua jambo hili
kaka mtandao umerudi...nendaTangu juzi hapa TRA Arusha huduma ya kuprocess Driving licence kitengo cha kupiga picha na finger print hakitoi huduma yoyote licha ya wateja kuwa kwenye msururu bila kupata huduma yoyote. Leo ni siku ya tatu na kisingizio kinachotolewa ni kwamba eti MTANDAO HAMNA.
Watanzania wenye akili hawawezi kuamini wala haingii akilini kusitisha huduma kwa siku 3 kwa kisingizio cha kutokuwepo kwa mtandao. Habari za kuaminika zinasema kuna ka mgomo baridi na suala la mtandao ni kisingizio tu. Na ikithibitika kuwa si mgomo ni mtandao kweli basi hii itamhusu sana huyu mama aliyepo kwenye hiki kitengo kwani kila mtu huwa anamlalamikia kwa jinsi alivyo na nyodo na kufanya kazi kama vile yuko nyumbani kwake.
Kuna wakati anawaona wateja kama omba omba wanaohitaji msaada kwake na hivyo huonyesha dharau bila kujua hao walipiga foleni ndo wanampa justification ya kupata kipato.
Kwa ufupi shughuli zote za upigaji picha na finger print kwa ajili ya Driving Licence hapa Arusha TRA zimekwama tangu juzi.
Tangu juzi hapa TRA Arusha huduma ya kuprocess Driving licence kitengo cha kupiga picha na finger print hakitoi huduma yoyote licha ya wateja kuwa kwenye msururu bila kupata huduma yoyote. Leo ni siku ya tatu na kisingizio kinachotolewa ni kwamba eti MTANDAO HAMNA.