ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,956
- 7,006
Wana bodi,
Wakati nasubiria kuona Boing ikiwasili, nilafungulia tbc nikiaamini ntaiona. Ratiba iliyotolewa ilikuwa ni 14:00 lkn bila shaka ratiba haikuwa sawaz hivyo tbc wakatuburudisha na nyimbo za kizalendo.
Aisee, kwanza walivyojiweka natural, hawajajiharibu na vipodozi.
Pili, wametunga nyimbo za kizalendo. Nimesikia wimbo wa bunge, tra, takukuru, miundombinu n.k.
Tatu uimbaji wao uko cool, wametulia na wanafanya vizuri
Nimefurahi kuwatazama, nadhani nyimbo zao tayari zipo YouTube, ngoja nijaribu nikapakue.
DVD yao ikifika huku ntachukua.
Mwalimu wa kwaya hiyo, hongera. Mwenyekiti na viongozi wenzako wa kwaya hiyo, hongera. Mmefanya kazi kubwa sana
Hongereni