Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,138
- 122,595
Hivi hata na weye Sesten waamini uganga eee? 😳😳Mngefungua zaidi muone, ila mganga wenu huyo! Lakini bora huyo hajawaambia mtafute viungo vya binadamu naona yeye aliwapa sharti la kupiga nje mpira wa kwanza mtakaoupata😀😀😀

