Geranimo E K I A
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,254
- 5,392
Hahahaha walipata tabu itakuwa walikuwa wanajiuliza tunacheza na SIMBA au BARCA maana ni kila sekunde kila dakika watu waja tu mkuu yani wamenusurika vibaya mnooJana Yanga waliona mchezo umechezwa masaa matano. Hakuna mchezaji wa Yanga aliyevua viatu wakati wa kulala.