Geranimo E K I A
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,252
- 5,381
Kabisa mkuu hili GHARIKA litamkuta masau bwire siku ya jumapiliGari Lishawaka.
Kabisa mkuu hili GHARIKA litamkuta masau bwire siku ya jumapiliGari Lishawaka.
Unaetaka apewe nafasi ana uwezo mdogo kuwa muelewa... wewe sio kochaMpira hauna historia basi Kaseja angeendelea kudaka Taifa stars ..current form ndio inatakiwa..jamaa toka alivyochukua jiko kawa mvivu..
Tuombe huyo beno apewe game 2 ya lesotho na uganda ili ufurahi...Bora kwa kigezo cha clean sheets wakati wapinzani wanafungwa magoli ya offside