Tpdc

yewomi

Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
78
Reaction score
27
wadau kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu TPDC tuliotuma maombi ya ajira huko atujuze jaman
 
nimepita TPDC bado kabisa mchakato, pia unaweza fuatilia maofisini kuuliza kuliko kukaa kusubiri taarifa maana kila anayeapply kazi ana haki ya kupata majibu kama kapata ama la..TPDC iko benjamin tower floor ya 4 ndo maulizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…