Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 980
- 280
Wakuu.,tulioomba kazi Tpdc!,hawa jamaa wataita lin?,mwenye details tafadhali
Wakuu.,tulioomba kazi Tpdc!,hawa jamaa wataita lin?,mwenye details tafadhali
nilijua wahsaita, kumbe nao wanachelewa hivo
naskia watu walioomba wanafika laki. lol
116,291
mamaa yangu!,mi nisiye kuwa na refa ntaitwa kweli? Au wataniita km ushahidi?,japo qualifications nnazo!
unashangaa hao wkt lapf walipeleka zaidi ya watu laki nne...mamaa yangu!,mi nisiye kuwa na refa ntaitwa kweli? Au wataniita km ushahidi?,japo qualifications nnazo!