Daah wanajamvi kuna jamaa yangu hapa kapata ajira TPA .Kapata sijui kimagumashi nashindwa hata kuelewa!Anyaway vipi hawajatoa tu zile za kugombania sisi tusio na ndugu huko??
Mkuu hawa jamaa wana ajiri kwa kujua juana hata mm kuna jamaa wa2 wameanza mda so mrefu,inaonekana kuna uhaba wa wafanyakazi pale ila ndo wanachukua chini chini.Mwakyembe hebu litazame hili uwasaidie watoto wa wakulima

Mkuu wewe acha tu watu wanaajiriwa daily sisi tusio na connection tunaambiwa tusubir zitatangazwa!Mi nadhan zitatangazwa baada ya nafasi kuwa tayar zimejaa ili kutimiza wajibu