Mpira umekwisha punde tu, TP Mazembe imelala kwa bao 1-0 mbele ya Al Hilal ya Sudan katika mchezo wa kuwania klabu bingwa Afrika uliofanyika mjini Khartoum, Sudan. Vijana wetu Samatta na Ulimwengu walikuwemo katika kikosi kilichoshuka dimbani na Samatta alisumbua sana, ila Al Hilal wameutumia vyema uwanja wa nyumbani.
Source: Bein Sports TV.
Source: Bein Sports TV.