Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,774
- 26,210
ni robo fainali na leo pia michuano inaendelea. ZBC² wanaonyeshaKwanza sio fainali pili mechi imechezwa jana
ni robo fainali na leo pia michuano inaendelea. ZBC² wanaonyeshaKwanza sio fainali pili mechi imechezwa jana
Hivi hawa wa Zaire na vurugu zao wanaweza mpira. Sisi na amani yetu hata utamaduni wa shule ya msingi hatuwezi !!. Hivi tulimkosea Mungu nini ?! . TP Mazembe hata bosi wao alisumbuliwa na Rais Kabila lakini bado wako ngangari !!. Sisi tumelaaniwa na nani ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchawi ni yule yule mmliki wa viwanja vingi vya mpira hapa nchini ambvyo vipo kaama mashamba ya mpungaHivi hawa wa Zaire na vurugu zao wanaweza mpira. Sisi na amani yetu hata utamaduni wa shule ya msingi hatuwezi !!. Hivi tulimkosea Mungu nini ?! . TP Mazembe hata bosi wao alisumbuliwa na Rais Kabila lakini bado wako ngangari !!. Sisi tumelaaniwa na nani ?!
Sent using Jamii Forums mobile app