TP Mazembe kapigwa 1-0 leo!

TP Mazembe kapigwa 1-0 leo!

Mdakuzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
4,293
Reaction score
6,902
Katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, leo klabu ya TP Mazembe ya Congo DRC imepigwa 1-0 na Berekum Chelsea kwa bao lililopigwa dakika ya 80 na Opoku.
 
Banghe bana!!!!!!!
 
.. ujumbe hapo ni kwamba Mazembe ya Congo DRC imepigwa 1-0 na Berekum Chelsea. Hayo mengine ni makosa ya kawaida/kila mtu anajua Mazembe ya Congo DRC haichezi ligi ya ulaya.
 
Yaani kuna watu kazi yao ni ku-concentrate kuchunguza vijikosa vidogo kiuandishi kama kwenye thread hapo juu,kupitiwa ni kawaida tu na ukizingatia hali halisi ya wa-TZ wengi tunaihusudu michuano ya Ulaya kuliko ya hapa nyumbani.
 
Ndio tatizo la Tanzania yetu ya sasa, tuko kwenye dunia ya kusubiri kukosoa na wala sio kuamua kufanya! Iko kazi kubwa sana kuibadilisha hii hali, hasa kwa wale waliozaliwa na kukulia katika eneo moja. Kweli, kwa sasa tuna kizazi cha WABISHI ambao wakati wote husubiri kubishana.
Asanteni kwa mlioliona hilo
 
.. ujumbe hapo ni kwamba Mazembe ya Congo DRC imepigwa 1-0 na Berekum Chelsea. Hayo mengine ni makosa ya kawaida/kila mtu anajua Mazembe ya Congo DRC haichezi ligi ya ulaya.

Asante sana kwa kumsaidia huyo mwenzetu... Duh, aliacha maneno mengine yote akashughulika na neno moja tu 'ULAYA'. Kuna kazi kubwa sana ya kukielimisha kizazi hiki cha WABISHI wa kila jambo, vinginevyo hata majukwaa kama haya hayatakuwa na maana tena, kwani yatakuwa ni sehemu maalum ya kufanyia ubishi wa mambo ya mepesi!
 
Mafanikio ya club tanzania utaskia tulishinda mpinzani 5-0
 
Back
Top Bottom