It is also opportunity for others to be grabbed with the elite clubs of Africa. The issue here is no players who joined Mazembe but the eligibility of the players who fraudulently played for Mazembe. They did it in Africans way.Being Dar Young African die hard fan and constant follower and admirer of Tanzanian football this is bad news for a golden boy Mbwana Samatta nad Patrick OChan they are now going to play local league in DR Congo duh, no CAF CL League for them...
Yaani timu kwa ujumla haipo kwenye mazoezi. Wapo kijiweni na wengine sasa hivi ndio watakuwa wanaitwa maana hawakuwa na comittment yoyote. Kina Mgosi ndio wale, uhusiano wao na Simba ulikuwa unachechemea. Hata upate tajiri hapa organisation ya wiki moja haitoshi. Hapa wangecomplain pia kwa damages maana huenda wangejipanga wakafika hatua ya makundi. Labda kama ile list ya usajili wa CAF ya mwaka wa nyuma bado inatumika huenda wakapiga magoti TP Mazembe kukopa wachezaji kama hela bado hawajagawana.Anfaal,
Simba hapa ndo naona washachemsha. Sijui kama wataruhusiwa kusajili kukabiliana na hali hii, anahitajika tajiri mmoja mzalendo kuipa Simba nguvu ifanye maajabu, fursa hii ni ya kipekee kwetu.
Kinachonisikitisha zaidi, kocha Phiri kishapisha, mpya hata timu hajaifahamu vema (kwa ninavyoona), timu zetu zinaendeshwa kisiasa sana!
14 May, 2011
Reigning African champions TP Mazembe of DR Congo have been disqualified from the Champions League.
The Confederation of African Football (Caf) took action after a complaint from Tanzanian side Simba about the eligibility of Janvier Besala Bokungu.
Mazembe beat Simba 6-3 on aggregate in the second round of the tournament.
Simba will play Morocco's Wydad Casablanca, who lost to Mazembe in the third round, for a place in the group stages of the tournament.
The one-off game will be played at a neutral venue next week.
Mazembe have won the Champions League for the last two years and reached the final of the Club World Cup last season, losing 3-0 to Italians Inter Milan in the final.
Anfaal,
Simba hapa ndo naona washachemsha. Sijui kama wataruhusiwa kusajili kukabiliana na hali hii, anahitajika tajiri mmoja mzalendo kuipa Simba nguvu ifanye maajabu, fursa hii ni ya kipekee kwetu.
Kinachonisikitisha zaidi, kocha Phiri kishapisha, mpya hata timu hajaifahamu vema (kwa ninavyoona), timu zetu zinaendeshwa kisiasa sana!
Source yako ni ipi mkuu? BBC wanaonyesha kuwa TP Mazembe wametozwa faini ya USD 15, 000 - kwa kosa la kuvamia uwanja. Nothing at all on disqualification.
Haki,taratibu na sheria vimezingatiwa!
Hii ni kiboko Mkuu na ni bahati mbaya sana kwetu Simba maana timu ilikuwa likizo na kwa uzoefu wangu mdogo tu najua ni vigumu kujipanga kwa hii game labda kwa msaada wa TP Mazembe wenyewe!Huyo tajiri ndo atafanya nini Simba ndani ya wiki 1?? Yaani hii habari imejaa vituko vitupu. Pamoja na kwamba ni ya kweli lakin imenichekesha balaa. Kumbe upuuzi upo hadi CAF???
Muwe mnaangalia na thread zingine kabla ya kukimbilia kuanzisha thread. Hii habari ameshaileta Invisible na ameeleza kwa kina zaidi