Ndugu zanguni swala la tozo ya kodi za simu limeibuka tena baada ya TRA kutaka makampuni ya simu kuanza kukata elfu moja kwa kila line ya simu kwa mwezi,swali nalokuja kujiuliza ni hili,tuliambiwa haya makato ni kwa ajili ya kuweka umeme vijijini,sasa je umeme utawekwa kwenye nymba za nyasi,hivi hamuoni kuwa hizi fedha wanataka kukusanya kwa ajili ya kampeni 2015?
NAWASILISHA
NAWASILISHA