inategemea na wasaa mzee. noah ni gari ya kisasa nzuri uwezo wake mkubwa ila tatizo ni bodi. ukipigwa pasi mlangoni inabidi utafute mlango mwengine tu haina kupiga rangi mzee. hiyo inafanya maintanence kw a upande wa body ni tatizo kubwa. super costom mimi sijaona tatizo lake ila huwezi kupata matoleo mapya ni ya zamani ila ni gari bomba sana. kuhusu matumizi ya mafuta si ya kutisha sana ni kawaida tu kwani hata hiyo turbo si lazima uitumie. we angalia tu burner! mi sijui