TOYOTA Vtz inauzwa.

Hiyo Vitz ya kijani, haina mwenyewe, itakuwa imetoka kwenye mawingu ya mvua. Siyawahi ona rangi kama hiyo kwa magari madogo madogo, sijui ni kwa nini.
 
Hiyo Vitz ya kijani, haina mwenyewe, itakuwa imetoka kwenye mawingu ya mvua. Siyawahi ona rangi kama hiyo kwa magari madogo madogo, sijui ni kwa nini.

Kwa sababu ni rangi y mkosi!! vibajaji vingi hapa mjini ndio vyenye rangi hiyo, ndio mana wanakufa kila kukicha.
 
Duh,
Kweli hizi mvua balaa!!
Hiyo Vitz niliiona ikifurumushwa na mafuriko Tabata matumbi,
Ishafika mapaka kigogo!!!
 
Duh,
Kweli hizi mvua balaa!!
Hiyo Vitz niliiona ikifurumushwa na mafuriko Tabata matumbi,
Ishafika mapaka kigogo!!!

Hah! kumbe uliiona. inunue basi mana mnatoka sehemu moja.
 
Hah! kumbe uliiona. inunue basi mana mnatoka sehemu moja.

Niliiona mkuu wangu, mshiko tu nao umesombwa na maji, nliuweka kwenye kibubu uvunguni kaka!!
Ile mvua kama ingeendelea mpaka leo, nina imani ile Vitz isingekomea hapo kwako, ingekua Surrender darajani!!
 
Kufa kufaaba,
Hii gari bado ipo?
Kama bado ipo, Nahitaji body yake tu, nina uhakika mwenyewe hataijua,
Kula laki 7 kwa hiyo body tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom