Toyota Voxy Inauzwa - Immaculate Condition!!

Toyota Voxy Inauzwa - Immaculate Condition!!

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,762
Reaction score
2,194
Wadau,

Nauza Toyota Voxy, iko kwenye hali nzuri sana (immaculate), na zifuatazo ndio taarifa zake!!

Year Of Manufacture; 2004
Year of Imporation ; 2013 (May)
Engine Capacity (CC); 1990
Running Odometer; 154,700km
Price; Tshs 9.5Million (Negociated)

Car Accessories
,
Aloy Rims,
Fog Lights,
Rear Spoiler.

Pictures,
Noah-1.jpg

Noah-6.jpgNoah-3.jpgNoah-4.jpgNoah.jpgNoah-2.jpg

Seller's Contacts;
Mobile; 0713 87 56 59 (call, whatsapp & sms)
Email; shaqeir@gmail.com
 
Gari bado ipo wadau, and now is 9.5Million fixed price!!
 
wakuu mimi natafuta toyota Noah, offer yangu milioni 7, kama unayo tuwasiliane PM
 
Shakir naomba usione nakuharibia biashara lakini voxy zina shida moja kubwa zinahitaji extreme care na ikitokea shida umpate fundi ambaye ni expert

Voxy ni gari za kisasa mno almost full automatic mfumo wa engine pia ni tofauti na ni unrepairable ikianza kuchoka ukibadilisha spare yoyote ndani ya engine ndo ntolee
Voxy ni nzuri sana na zinadumu zikipata mtu anayependa na mtunzaji na anayezingatia service
Pia kuhakikisha anatumia kila kitu ambacho ni genuine kuanzia petrol, engine oil, hydraulic, coolant nk
Nine to a hilo angalizo ili usije pata lawama
 
Mwenzako anatangaza biashara ww una mharibia, acha wivu, sijui una miaka mingapi,
 
Mwenzako anatangaza biashara ww una mharibia, acha wivu, sijui una miaka mingapi,

Soma post yangu uielewe wewe mi nauza magari na wateja Wangu huwaambia hiki hiki nilichoandika hapa Voxy ni gari Zuri lakini halitaki mikiki na ubahili zingatia hilo
 
Soma post yangu uielewe wewe mi nauza magari na wateja Wangu huwaambia hiki hiki nilichoandika hapa Voxy ni hadi Zuri lakini halitaki mikiki na ubahili zingatia hilo

Yaaah nimependa comment yako mkuu kwn mm kama mteja nina haki ya kuambiwa ukweli kabla ya kufanya maamuzi na hatimae kumtupia lawama muuzaji kwa kutoniambia ukweli. Kwa aliekupinga mbona halalamiki anapoona ktk sigara inavyoelezewa madhara yake kabla ya kununua! Kuambiwa ukweli ya bidhaa inayouzwa ni haki ya msingi ya mteja pasipo kujali itaathiri vipi mauzo ya bidhaa!!! Thanx mkuu, nimeipenda hiyo!!!
 
Sigara ni hatari na bado wanavuta.
 
Sigara ni hatari na bado wanavuta.

Ndio hatari kwa afya yako! Mtumiaji anaponunua na kuitumia anajua wazi kashaambiwa ni hatari kwa afya yake hivyo asimlaumu muuzaji kwa kutomuweka wazi juu ya madhara ya sigara (bidhaa):what::what::what:😎
 
Mwenzako anatangaza biashara ww una mharibia, acha wivu, sijui una miaka mingapi,

hajaharibu biashara bana sema tu amemsaidia atakaeinunua kujua namna ya kuishi na hyo gari ili asije pata majanga mbna wabongo mnapenda biashara za kubambikiana. Jamaa katoa maelekezo ya namna ya kuishi na hyo gar hajasema msinunue
 
Shakir naomba usione nakuharibia biashara lakini voxy zina shida moja kubwa zinahitaji extreme care na ikitokea shida umpate fundi ambaye ni expert

Voxy ni gari za kisasa mno almost full automatic mfumo wa engine pia ni tofauti na ni unrepairable ikianza kuchoka ukibadilisha spare yoyote ndani ya engine ndo ntolee
Voxy ni nzuri sana na zinadumu zikipata mtu anayependa na mtunzaji na anayezingatia service
Pia kuhakikisha anatumia kila kitu ambacho ni genuine kuanzia petrol, engine oil, hydraulic, coolant nk
Nine to a hilo angalizo ili usije pata lawama

Mimi si mteja wala sina mpango wa kununua hilo gari lakini hapa nimepata somo kubwa sana, mimi nina kagari changu new model fulani hivi, ni full digital, hayo maangalizo ya kutumia genuine parts nitayazingatia, kwa kuwa siku moja almanusra niweke normal water for coolant. Thanks bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom