botafongo jr
Senior Member
- Aug 13, 2013
- 107
- 17
Habarini, mwenye kufahamu bei ya Toyota volts kwa sasa
Asante mkuuWapi show room au kuagiza?
Show room inacheza 15-18M inategemea na mwaka na kama ni 4wd zipo juu zaidi.
Ikiagiza inacheza 14-18M
Ni gari nzuri sana,ina cc 1790,ukipata yenye 4wd utafurahia maisha.Shamba unaenda na mjini unatesa.iko poa sanaAsante mkuu