Toyota vitz kwa Mil 3

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Wakuu kuna toyota vitz inauzwa kwa sh. Milion 3. Inaitaji marekebisho bt gar inatembea na iko poa. Ni ya mwaka 2000 , cc990, km 76000, my no 0769038065
 

Attachments

  • 1411056590230.jpg
    81.6 KB · Views: 1,729
  • 1411056610660.jpg
    90.7 KB · Views: 1,212
  • 1411056630751.jpg
    74.5 KB · Views: 1,171
1.5 m kesho asbuii wai mwenge nikkulipe uje na mktaba wa mauziano tunaitest kwenye milima kama kanaoandaa kwa kwenda mbele au nyuma alaf nikabadilishe rangiiii hiiio na kukapimp siunajuaa nakaaamadongoo kuinama
 
Wakuu kuna toyota vitz inauzwa kwa sh. Milion 3. Inaitaji marekebisho bt gar inatembea na iko poa. Ni ya mwaka 2000 , cc990, km 76000, my no 0769038065
ila mbona haujasema tatizo iliyonayo?
 
Rejeta (Radiator) haichemshi...
Kitu inayochemsha ni Injini.. Au unamaanisha Rejeta inavuja, hence injini kuchemsha???
Shokapu zimefanyeje, zimechoka??
Chukua M2 nikampe mtu zawadi.

Sry 3m last price
 
Hili gari mara ya kwanza ulipost unauza mil 4.7,kwnye mtandao wa kupatana.com linauzwa mil 5,leo post mpya mil 3 hili litakuwa na matatizo mengi ingawa hutaki kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…