Toyota Vitz for Sale

Toyota Vitz for Sale

Nimeagiza nyingine ipo njiani inakuja

Vitz iko vizuri kwa mwonekano wa nje sijui Engine yake ikoje....the only problem na hii kitu ni kwamba ina milango mitatu mzee.....wakati still for the same price tena hata chini yake you can get Vitz ya 5 doors....vunja bei boss nikuletee mtu
 
Mkuu

kama bado ipo na kama upo Dar nileteee hapa kinondoni kuna mteja nimwoneshe au nicheck kwenye 0772 008866
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom