toyota vitz for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

toyota vitz for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by freemoney, Jun 30, 2012.

 1. freemoney

  freemoney Senior Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari wana JF

  vitz nyekundu mpya bado ipo tayari kwa kuuzwa, bei ni SH 6.4 million
  tuwasiliane kwenye 0716-369299  vitz for sale.jpg
   
 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ifafanue imetembea kilometa ngapi ya mwaka gani?
   
 3. freemoney

  freemoney Senior Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NIyamwaka 2002 imetembea km 130,000
   
 4. M

  MTK JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Haifai
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hiyo vitz yako ni kikongwe, jaribu kushusha bei hadi 5m/-
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hebu weka cv yake vizuri........
  elezea mwili wake una nini na nini.....
  ipo wapi.....?
   
 7. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  kwa nini unaiuza?
   
 8. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Hana hela ya kwenda kumuangalia Dayamondi pale da laivu kesho.:spy:
   
 9. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  huyu ni muuzaji maarufu wa magari hapa.
   
 10. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Vits2002-2010=10 haf unaambiwa imetembea km 130000\10yrs=13000per year? yani ilikuwa inaenda kigoma na kurudi mara tano kwa mwaka kwa miaka kumi? duh?
   
 11. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mkuu nina 4.5m nimkamatie wife hii tunasumbua sana
   
 12. freemoney

  freemoney Senior Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninauza hii gari sababu naitaji kununua gari nyingine na pia gari ilikua haijatumika mda mrefu maana ilikua imeletwa nchini 2010 na ilikua inatumika mjini tu. Gari ipo apa town opposite na CBE.
   
 13. freemoney

  freemoney Senior Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa million 4.5 haiwezekani labda uweke 5.3 nkupe stalet
   
 14. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii sio kweli mkuu, we ni dalali wa kuuza magari hapa JF sasa unaposema unauza ili ununue gari jingine sijui unamdanganya nani? Watu wote wanakujua humu. Acha hizo kaka
   
 15. next

  next JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  umbali wa dar—kigoma kwa barabara za tanzania ingekua si gari nzuri kwa sasa ila kwa barabara, mafuta na spea za wenzetu (hasa japan). hilo si issue. pia angalia km za gari zinazouzw mtandaoni muone zinauzwa zikiwa na odometer inasoma ngapi, check hasa toyota IST.
  ambazo nyingi ni za 2002 kwenda mbele
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ni muongo sana,sijui kwa nini habadiriki?hapo atakuwa ameongeza zake 2m dawa ni kumtafuta mwenye mali tu.
   
Loading...