Toyota Vitz 5.5M negotiable

Toyota Vitz 5.5M negotiable

marty

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
770
Reaction score
27
For sale Toyota Vitz, Cc 990, Sport rims..all documents available Price 5.5ml negotiable..for more info 0713388226
10432362_10152307648668303_126782656_n.jpg10450448_10152311201648303_2502226188986704513_n.jpg10452321_10152311201288303_4092932273668545642_n.jpg10486997_10152307648643303_1916635251_n.jpg10508523_10152307648638303_289890445_n.jpg10517054_10152307648648303_1068688094_n.jpg10518945_10152307648633303_1559175147_n (1).jpg10518945_10152307648633303_1559175147_n (1).jpg10527932_10152307648658303_1939930233_n.jpg10529486_10152307648663303_2078104964_n.jpg10529589_10152307648653303_31659285_n.jpg
 
msipende kurudishana nyuma na kukatishana tamaa...kama hiyo Vits haina tatizo lolote kwa hiyo bei ni fare kabisa,

otherwise umpigie simu binafsi na uombe kupunguziwa salio na si kuweka comments za masihala!!..mostly wanaoweka

comments za masihala,si wanunuzi ata bei ingekuwa 1M..ndo kwanza wangesema gari gari gani ya 1M si bora boda boda.....!!!

kama huna uwezo wa kununua gari au salio halisomi basi we soma tangazo na pita tuuu....!
 
Kiongozi huna uzoefu na hizo forums??
Kuna mtu akiwa kwenye kiibodi anaropoka tu!!!!
Hebu mwambie akuletee vitz ya aina hiyo kwa 3.5m kama atapata!!!!


Duh kwanini tunapenda kukatishana tamaa namna hii???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom