jey n JF-Expert Member Joined Dec 15, 2018 Posts 227 Reaction score 217 Feb 15, 2026 #1 Wakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli??
Wakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli??
Jackpiano JF-Expert Member Joined Apr 19, 2025 Posts 560 Reaction score 756 Feb 15, 2026 #2 jey n said: Wakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli?? Click to expand... Weka bei kama unauza ? Ila jalbu kuchunguza kama ni 4x4 zipo izo zinakula sana mafuta na kuzingatia plugs original nk fuel filter nk
jey n said: Wakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli?? Click to expand... Weka bei kama unauza ? Ila jalbu kuchunguza kama ni 4x4 zipo izo zinakula sana mafuta na kuzingatia plugs original nk fuel filter nk
jey n JF-Expert Member Joined Dec 15, 2018 Posts 227 Reaction score 217 Feb 15, 2026 Thread starter #3 Jackpiano said: Weka bei kama unauza ? Ila jalbu kuchunguza kama ni 4x4 zipo izo zinakula sana mafuta na kuzingatia plugs original nk fuel filter nk Click to expand... Hahahah!!bado naipenda siwezi kuuza kwa sasa wacha nicheck plugs
Jackpiano said: Weka bei kama unauza ? Ila jalbu kuchunguza kama ni 4x4 zipo izo zinakula sana mafuta na kuzingatia plugs original nk fuel filter nk Click to expand... Hahahah!!bado naipenda siwezi kuuza kwa sasa wacha nicheck plugs
Jackpiano JF-Expert Member Joined Apr 19, 2025 Posts 560 Reaction score 756 Feb 15, 2026 #4 jey n said: Hahahah!!bado naipenda siwezi kuuza kwa sasa wacha nicheck plugs Click to expand... Natafuta vitz old model
jey n said: Hahahah!!bado naipenda siwezi kuuza kwa sasa wacha nicheck plugs Click to expand... Natafuta vitz old model
itscowboy98 JF-Expert Member Joined Dec 9, 2025 Posts 840 Reaction score 1,345 Feb 15, 2026 #5 jey n said: Wakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli?? Click to expand... Ngoja waje wataalam tupate madini
jey n said: Wakuu habari za weekend, nina Toyota vitz 2011 1.3L inakula mafuta 8.8km/l.Je hii ni kawaida kwa gari ya aina hiyo kweli?? Click to expand... Ngoja waje wataalam tupate madini
becknature JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 747 Reaction score 990 Feb 22, 2026 #6 Nafikiri si kawaida. Nina carina ti 1490cc Safari za mjini napata 10-11km/ltr.