Toyota Verossa

Toyota Verossa

nimependa uchambuzi wa Brakelyn lkn tatizo la soko letu la TZ la magari ni kwamba unapotaka kuuza brands kama bmw wateja ni wachache haswa!
 
ni kweli mkuu, ndio maana nilimshauri tu kama hana mpango wa kuliuza basi gari zuri la kuwa nalo kwa muda mrefu achague Benz au Bma'',,,,ila kila mtu na taste yake, kwa mimi naona kuspend milioni 12 kwa gari kama verossa ni bora nikakamata Brand moja ya ukweli,,
 
nimependa uchambuzi wa Brakelyn lkn tatizo la soko letu la TZ la magari ni kwamba unapotaka kuuza brands kama bmw wateja ni wachache haswa!
Sure,
Labda uikatie bima kubwa then uipige kiberiti
 
Achana na verosa chukua brevis kitu kimetulia kama Toyota crown
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom