Toyota Vanguard inauzwa

Toyota Vanguard inauzwa

Sasa unabisha kuhusu km 12 kwa lita kwa uzoefu au ilimradi? Mimi natumia harrier same engine na hiyo ulaji wake wa mafuta ndio upo hivyo sasa wewe sijui unatumia vigezo gani kubisha
Mimi natumia Harrier ya 2160cc haifiki hiyo 12/ltr. Msidanganye watu hapa na ushamba wenu wa magari. Mil. 36???
 
Mimi natumia Harrier ya 2160cc haifiki hiyo 12/ltr. Msidanganye watu hapa na ushamba wenu wa magari. Mil. 36???

Mfumo wa umeme na engine wa gari unalotumia wewe la mwaka 47 tofauti kabsa na mifumo ya umeme na engine ya magari haya tunayozungumzia cc, kwa akili yako utasema landcruiser vx v8 itakuwa inatembea km ngap kwa lita kwa zile cc 4600?
 
Hiyo gari kwa 25ml unaipata kutoka Japan lkn mswahili anaiongeza dhamani Hadi 30ml kitu ambacho hakipo,kwakuwa umesha inunua kula 20ml
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom