ukiona hivyo ujue mwagizaji hakufanya utafiti vya kutosha kuhusu kodi ya gari hiyo amechemka.Hiyo ndinga mbona kama iko Japan bado
Imeshafika Dar, ukitaka kuiona tuwasilianeHiyo ndinga mbona kama iko Japan bado
Toyota Vanguard mpya, toleo la mwaka 2008,
Engine: CC 2400,
Mileage : 53000km,
Bei 36/-m
Location: DSM.
Mawasiliano: 0767217124
View attachment 598145
Toyota Vanguard mpya, toleo la mwaka 2008,
Engine: CC 2400,
Mileage : 53000km,
Bei 36/-m
Location: DSM.
Mawasiliano: 0767217124
View attachment 598145
Je umeripia ushuru?? Na nilitaka kujua ulaji wake mafuta,
ukiona hivyo ujue mwagizaji hakufanya utafiti vya kutosha kuhusu kodi ya gari hiyo amechemka.
Mil 36??? Acheni utani. Mimi naagiza hiyo nikilipa sana Mil 24. Migari hii ya 2400cc mnadanganya watu hapa eti 12km/ltr. ??