Mpwa naamini kabisa hio gari ni nzuri ila naomba kitu kimoja, rekebisha hizo kilometer, ni nyingi sana sana au pengine ni macho yangu Km 1,006,300.View attachment 98908View attachment 98913
Imetembea Km 1006300, ya Mwaka 1999 iko katika hali nzuiri sana, bei Tsha 4.5M karibu sana
Mileage kubwa mno!
Pole sana ni KM100630
Duh poleni wadau ni km 100,630
Hii kilometa uliyoandika mwanzo na sasa
hakuna tofauti yoyote nadhani hao wengine
wame overlook