Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 480
- 413
poa kiongoziNatanguliza salam nyote humu,kuna hii gari starlet carat nimeiona mahali jamaa kai pimp utasema bmw ilivyokaa hapo mbele,nimevutiwa sana nayo,mwenye uzoefu nazo vipi zinakuaga na tatizo lolote, je ni gari nzuri? Na imara?
Asante mkuuMkuu kama wewe ni mtunzaji basi mpaka wajukuu wataitumia, spea bwerere huulizi maduka mawili, spare bei chini, mafundi wake wapo na hata wewe waweza kuwa fundi, mafuta glass moja unafika Tanga,
Asante sana kiongoziYaani ukishindwa kui tunza au kudumu Na hiyo gari basi ww Fanya ununue punda tuu labda ndio atakufaa.maana garama yake ni nyasi tuu
pole sana mkuu ni gari ambayo watu wanaipenda sana ulaji wa mafutaa ni kama unatembelea pikipiki na utunzaji wake spea ni bei chee sana.Starlet ni gani poa sana, niliuza yangu ila sasa hivi natafuta siipati.
Lita moja inatembea km ngapi kiongozi?Nnayo carat..ni gar ambayo inakufichia aibu..me naamaini namiliki boda boda