Toyota Rav 4 inauzwa.

Toyota Rav 4 inauzwa.

Unbelievable

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
262
Reaction score
115
Toyota Rav 4 inauzwa Milioni 14 mwisho 13.

2017-01-30+06.18.27.jpg
2017-01-30+06.21.01.jpg
2017-01-30+06.22.56.jpg
 
Duh!!!,Sisi akina Karubandika tutaishia kusoma bei za magari.loh!,hali imebana sana.
we jamaa mbaya ujue. acha basi kunisema, ni kama ulikuwa kwenye mfumo wangu wa fahamu. chombo cha usafiri ninachomiliki kwa sasa ni baskeli ya 85,000/= japo thread za magari bado natupia neno. miaka ya nyuma nilikuwa mkiwa sana. niliamini kila member wa JF anamiliki gari tena si ya bei kidogo, nilijua kila member ameshapanda ndege, kila member anamiliki nyumba tena za roshani kadhaa. maana nilitokea kupenda jukwaa la biashara, gereji, matangazo. mbwembwe za kupamba na kukosoa ubora, bei looh! kumbe siri ilikuwa ndani ya nafsi ya kila mchangia hoja.
 
Yaani mimi nilipanga mipango yangu mpaka mwaka huu mwishoni ningekuwa na kagari ila anayenikwamisha namjua, simpendi.Mimi sio mpiga dili ila kazini kanyongeza hakuna na kwenye biashara hali ngumu mno.Mchawi wangu wa maendeleo namjua,
Kila kwenye kikao anajisifia kaniweza
 
Mkuu!!,km ulikuwa na fikra hizo aise sahau,Kuna watu humu hali ni ngumu km yangu lkn utakuta eti wana bargain bei ya gari la bei kubwa tu.Jamani laiti km Ma member tungekuwa tunatembeleana basi kuna watu wangeshangaza wengi.
 
Dah hata mm nlitaka kununua kagari ila kuna mtu anapenda kaniona chini yake muda wote... Kila siku anadai vyeti vyangu akimaliza kukagua anamtuma mtu tena daaah
 
yaani kumbe wengine wanashindana bei kumbe mfukoni pakavu.Umenifungua ufahamu zaidi,kumbe kuna wa hali ngumu zaidi yangu
 
Dah hata mm nlitaka kununua kagari ila kuna mtu anapenda kaniona chini yake muda wote... Kila siku anadai vyeti vyangu akimaliza kukagua anamtuma mtu tena daaah
Yaani anazingua,kalaana kanamnyemelea,anasumbua watu,na haki zao anabana kisa eti kapewa ukiranja.Kasahau ukaka mkuu una mda wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom