Jorochere
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 994
- 671
Mimi kununua gari ni 2020 baada ya chadema kukamata usukani ,,,,,!Dah hata mm nlitaka kununua kagari ila kuna mtu anapenda kaniona chini yake muda wote... Kila siku anadai vyeti vyangu akimaliza kukagua anamtuma mtu tena daaah