Habari bandugu.
Naomba kwa wataalam na wajuzi waliobobea kwenye aina za magari tajwa hapo juu nipate ushauri kutoka kwenu kabla ya kufanya maamuzi binafsi maana naamini kipato changu ni katika kumudu aina hizo tajwa.
Ushauri katika ubora, uimara na comfortability ya hizo gari kwa kulinganisha.
Sio vibaya pia nikiongeza na Toyota Spacio kwenye orodha.
Pia tofauti kati ya IST ccc 1290 na 1450 cc.
Sina mengi, naomba msaada wenu.