Toyota Probox kutoka Japan ni bei gani?

kindoki

kindoki

Senior Member
Sep 17, 2018
192
250
Wadau,

Hivi gharama za kuagiza Probox kutoka Japan kuja Tanzania inaweza kugharimu bei gani, transport fee and custom, mpaka gari linakabidhiwa mikononi mwako unatakiwa kuwa na pesa ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Architect E.M

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,076
2,000
Probox ya 2009 andaa 14m
 
Prodigy Oligarchy

Prodigy Oligarchy

JF-Expert Member
Mar 21, 2020
260
250
Hua zinaanzia 12.5m na kuendelea, inategemeana na mwaka, pamoja na milleage.

Kuna rafiki yangu, yeye huwa kuna watu anatumia huduma yao, anachofanya analipia cif mwenyewe kule japan, jamaa anawapa risiti ya uthibitisho wa malipo.

Gari ikifika, wanamlipia ushuru, wanampa.
though wanakua na mikataba yao ya makubaliano.

Then anawarejeshea kwa awamu ile fedha ya ushuru.

Imemsaidia saana.
 
Manjagata

Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
4,988
2,000
Ubora wa Probox wakuu ukoje? Hivi vigari navitamani sana maana nasikia mafuta vinafanya kunusa tu! Hivi kati ya Probox na WISH ipi iko poa?
 
Top Bottom