Toyota Probox inahitajika

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,826
9,533
Nahitaji Toyota Probox namba D iwe vizuri tuwasiliane PM kama unayo
 
Nahitaji Toyota Probox namba D iwe vizuri tuwasiliane PM kama unayo
Ninaye ndg yake anaitwa Succeed mwaka wa saba huu cjawahi juta!! Kuna kipindi niliwaza kuiuza ili tu nibadili gari lkn ckuona gari ndogo itakayoweza kuireplace, fuel consumption nzuri, boot space kuubwa yenye floor ngumu km ya bodi ya kirikuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…