Toyota premio ya 2014

Anamaanisha yenye mfumo zaidi ya mmoja wa power mfano yenye mfumo wa mafuta na umeme ndani ya gari Moja Aya mafuta na gas....na zipo nyingi saiv kwaio achana na izo gari za zamani...m

Hapo nimeelewa mfano wa hayo magari
 
Na yanakuaga mazuri sana kwenye bajeti ni kuwa tu makini na betri maana zinakufaga usipozitunza vyema.....lakini zikogo economic...Kuna Moja inatumia Lita 1 km.29 imeizidi hadi ist na Bado inatumia umeme

Mfano wa ilo gar na bei zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…