Toyota PASSO Vs Mazda DEMIO zote za 2004

Toyota PASSO Vs Mazda DEMIO zote za 2004

andycachy

Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
83
Reaction score
18
Wadau ninataka agiza gari moja kati ya haya, Toyota PASSO na Mazda DEMIO, yote ya mwaka 2004, naomba mnishauri lipi ni bora zaidi kwa uimara na engine na zote zina bei sawa CIF US$ 1800 pia kwa mahesabu ya harakaharaka inaweza kucost bei gani kuitoa dar ? gari ya mwaka 2004 CIF $ 1800. Asanteni
 
Toyota hutasumbuka spare parts. Mazda Demio ya 2004 ni very comfortable vehicle, excellent fuel consumptionna imara, tatizo spare.

Kwa hiyi CIF kutoa andaa about 3.2 mil sh.
 
mi ningechuchukua demio,hizo ni illusion tu eti spare hazipatikani,kakwambia nani wakati kuna dealers wa mazda kibao
 
mi ningechuchukua demio,hizo ni illusion tu eti spare hazipatikani,kakwambia nani wakati kuna dealers wa mazda kibao

Mkuu kuna toyota zingine spare ni issue, mazda c ndio balaa kwa sababu zipo za aina nyingi tu
 
Back
Top Bottom