Toyota passo transimmision problem

Toyota passo transimmision problem

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
kwayeyote mwenye utalaam au aliyewahi kukutana na matatizo ya gear box kwenye gari ya PASSO anaweza plz toa mchango wako hapo hiyo gari ilikuwa natatizo gani na uliitatuaje??

maana hizi gari sasa hivi zimekuwa NYINGI na matatizo ya gear box ndio ugonjwa wake MKUU.

kesi ambazo kwa upande wa UMEME nimewahi kukutana nazo kubwa na sugu ni hii hapa.
gari kuwaka taa ya over drive inakuwa Ina blink / flush na gari inakuwa haibadili gear vizuri hasa kuondoka ndio inakuwa shida inakuwa nzito sana kana kwamba gear NAMBA 1 haifanyi KAZI gari inakuwa kama inaondokea gear kubwa ila ukiendanayo MDOGO MDOGO inachanganya mpaka inafika speed 100 naa.

ukipima na diagnosis mashine inakupa code hii
P0763 Shift solenoid `C` electrical.
kwamjibu wa code hiyo vitu vinavyo weza sababisha code hiyo ni

1-low transmission fluid level
2-dirt transmission fluid
3-fault shift solenoid `C` valve
4-shift solenoid `C` valve harness or connector
5-shift solenoid `C` valve circuirt is open or shorted.

POSSIBLE SYSMPTOMS
1-transmission will not shift gear
2-O/D light ON

kutokana na Maelezo ya code hiyo nimekagua vyote hapo juu ikiwa pamoja na kubadili valve cheser na kubadili transimmision control lakini bado TAA ya OD inawaka.

Je? ushawahi kutana na hii tatizo ? ulilitatuaje ulibadili nini au ulilitatuaje?.
Mimi nimefanikiwa kufuatilia na kutatua suala la kuwa nzito now gari ninyepesi ingawa haichimbi na over drive haifanyi KAZI mambo haya 2 yaliyobakia yatakamilika kama tatizo la taa ya over drive litatatuliwa..

Leo napambana na hiyo TAA nikifanikiwa au vyovyote itakavyo kuwa nitawapa feedback.

lengo la thread hii nikusaidiana kwa aina 1 au nyingine coz hizi PASSO ni mpya na watu wamezinunua sana na SPEA zake hasa za UMEME kwa hapa dar nitatizo kidogo.
hivyo matatizo kama haya kumbe yanaweza kuwa yanatatulika bila kubadili SPEA.
 
naona watu wamepita kimya kimya aiseee inamaana hapa jamvini hakuna fundi aliyekutana na hii ishu??
au hakuna mtu anayetumia hii gari kesha wahikutana na hili tatizo? alitatuaje? au nani alilimaliza??
 
kwayeyote mwenye utalaam au aliyewahi kukutana na matatizo ya gear box kwenye gari ya PASSO anaweza plz toa mchango wako hapo hiyo gari ilikuwa natatizo gani na uliitatuaje??

maana hizi gari sasa hivi zimekuwa NYINGI na matatizo ya gear box ndio ugonjwa wake MKUU.

kesi ambazo kwa upande wa UMEME nimewahi kukutana nazo kubwa na sugu ni hii hapa.
gari kuwaka taa ya over drive inakuwa Ina blink / flush na gari inakuwa haibadili gear vizuri hasa kuondoka ndio inakuwa shida inakuwa nzito sana kana kwamba gear NAMBA 1 haifanyi KAZI gari inakuwa kama inaondokea gear kubwa ila ukiendanayo MDOGO MDOGO inachanganya mpaka inafika speed 100 naa.

ukipima na diagnosis mashine inakupa code hii
P0763 Shift solenoid `C` electrical.
kwamjibu wa code hiyo vitu vinavyo weza sababisha code hiyo ni

1-low transmission fluid level
2-dirt transmission fluid
3-fault shift solenoid `C` valve
4-shift solenoid `C` valve harness or connector
5-shift solenoid `C` valve circuirt is open or shorted.

POSSIBLE SYSMPTOMS
1-transmission will not shift gear
2-O/D light ON

kutokana na Maelezo ya code hiyo nimekagua vyote hapo juu ikiwa pamoja na kubadili valve cheser na kubadili transimmision control lakini bado TAA ya OD inawaka.

Je? ushawahi kutana na hii tatizo ? ulilitatuaje ulibadili nini au ulilitatuaje?.
Mimi nimefanikiwa kufuatilia na kutatua suala la kuwa nzito now gari ninyepesi ingawa haichimbi na over drive haifanyi KAZI mambo haya 2 yaliyobakia yatakamilika kama tatizo la taa ya over drive litatatuliwa..

Leo napambana na hiyo TAA nikifanikiwa au vyovyote itakavyo kuwa nitawapa feedback.

lengo la thread hii nikusaidiana kwa aina 1 au nyingine coz hizi PASSO ni mpya na watu wamezinunua sana na SPEA zake hasa za UMEME kwa hapa dar nitatizo kidogo.
hivyo matatizo kama haya kumbe yanaweza kuwa yanatatulika bila kubadili SPEA.
hellow brother am experiencing the same problem but ulifuta memory baada ya kufanya yote hayo?
 
Daaah mkuu imenitokea tangu juzi kwa gari yangu Toyota Passo je uliisha tatua tatizo hill
Na umefanikiwa nicheki 0717178111 uniambie gharama
 
Back
Top Bottom