Toyota Opa

Toyota Opa

bei kubwa au ndogo, kwa shillingi ama dollar, yote hiyo ni business..take it or leave it. if you are able to import same vehicle for less cost then pls do, wont make any sense if you buy frm me
Mteja ni mfalme mkuu kama una hasira hautafanya biashara coz jf watu wana ushauri wenye maneno machafu lakini yenye ukweli ndani yake.
 
Mkuu kuna baadhi ya Members wanaudhi, mimi binafsi imenitokea wakati nimeweka bandiko langu la kuuza kiwanja Kigamboni. From nowhere akatokea jamaa anajiita ZeMarcopolo kuanza kunituhumu kwamba mi ni tapeli, hayo maeneo yako ndani ya mradi wa Kigamboni new city. Hivi mtu kama huyo unadhani unaweza kumvumilia? Nasema hivyo kwa sababu mimi binafsi nilishakwenda hadi wizarani na nikachukua wapimaji kuwapeleka eneo hilo na hivyo liko salama.
Mteja ni mfalme mkuu kama una hasira hautafanya biashara coz jf watu wana ushauri wenye maneno machafu lakini yenye ukweli ndani yake.
<br />
<br />
 
Sasa kama wewe unaweza kuandika mambo ya kudhalilisha na kuudhi wenzio, kweli unataka other members waendelee kukuvumilia? Bei kama ni kubwa kaa kando na upishe wenye pesa wanunue, tunaishi kwenye ulimwengu ambao biashara inafanya self adjustment.
wanawake wanaokaribia menopause bila ya kuwa relationship ya kueleweka ndivyo walivyo, msameheni bure.
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom