Toyota Noah for sale

benbry

Senior Member
Apr 3, 2012
183
54
Sr40 ya mwaka 2002,
Vibali valid until May 2017
Km 95000
Sport ream
New tyres
Colour black
No DDN
Bei ni 12m
Iko na vitu vyote unavyoweza kufikiri vinahitajika kwenye gari, kama alarm, seat cover, radio ya dvd, na mziki wake ni wa haja. Haijawahi kufanya kazi ngumu zaidi ya kupeleka watoto kanisani.

Nicheki 0713322856 kama una hitaji.

1465917388581.jpg

1465917064894.jpg
 
Bei ni 12m
Iko na vitu vyote unavyoweza kufikiri vinahitajika kwenye gari, kama alarm, seat cover, radio ya dvd, na mziki wake ni wa haja. Haijawahi kufanya kazi ngumu zaidi ya kupeleka watoto kanisani.
Hahahha ina upako kabisa Mze, dah safi sana, ukipata mteja mjulishe na mimi nauza Carina bhana sijaifanyia usajili bado, asante sana
 
Bei ni 12m
Iko na vitu vyote unavyoweza kufikiri vinahitajika kwenye gari, kama alarm, seat cover, radio ya dvd, na mziki wake ni wa haja. Haijawahi kufanya kazi ngumu zaidi ya kupeleka watoto kanisani.

Hivi nyie wauza magari kwa nini mnapenda kudanganya miaka ya magari kutengenezwa? kwa mfano hiyo gari yako imetengenezwa mwaka 2000 ila unasema 2002, btw hakuna noah sr40 iliyotengenezwa zaidi ya mwaka 2001 sasa wewe hiyo ya 2002 sr40 umeitoa wapi??
 
Aisee,sie tusiojua ndio tunajua,asante kwa taaluma mkuu ubarikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom