Kila la kheri mdau, gari ni nzuri imesimama ila bei hiyo mmmmh!
Kwa wale wadau wa classic cars, Kuna huo mzigo uko sokoni kwa Mil 21.
unapatikana Dar es salaam.
ni gari ya mwaka 2005, imetembea km 123000 uko kwao Japan. color ni nyeupe. Engine ya cylinder 6. Plate namba ni CVF ( ya juzi tu hii haijamaliza mwezi).
walio interested mawasiliano yangu ni 0755815174
kiongozi mbona bei ya kawaida iyo kwa huo usafiri...maana japani inauzwa dolari karibu 5000...ukiongeza freight inafika kwenye dolari elfu saba...TRA hawajataka mil 8 yao ya kodi...na kolokolo zao zote inafika hapo
Plate namba ni CVF ( ya juzi tu hii haijamaliza mwezi).