MIMI NA TZ
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 197
- 18
Pata Toyota Mark II Kwa milioni 2 ipo hapa mwanza condition yake ni nzuri sana inahitaji betri tu.kama utahitaji nicheki Kwa 0788752672
kutafuta kujulishwa kwa mafundi nani anataka?Pata Toyota Mark II Kwa milioni 2 ipo hapa mwanza condition yake ni nzuri sana inahitaji betri tu.kama utahitaji nicheki Kwa 0788752672
Weka picha
kutafuta kujulishwa kwa mafundi nani anataka?
Duh mwaka huu na mie lazima nimiliki gari
Njo U-TURN kesho uione
Kwahiyo nikinunua betri tu laazizi wangu Honey Faith atakuwa anatembea akiwa amekaa ndani ya Mark II safey??Njo U-TURN kesho uione
Utamiliki lakini ujue kwamba litakuwa likishinda na kulala gereji.Duh mwaka huu na mie lazima nimiliki gari
Pale supermarket?
Kwahiyo nikinunua betri tu laazizi wangu Honey Faith atakuwa anatembea akiwa amekaa ndani ya Mark II safey??
Nishauri bei gani nzuri kati ya Panasonic na Tiger. Staki dem wangu Honey Faith azimikiwe na mchuma barabarani.Ni hiyo tu. karibu sana
Kwahiyo nikinunua betri tu laazizi wangu Honey Faith atakuwa anatembea akiwa amekaa ndani ya Mark II safey??
Nishauri bei gani nzuri kati ya Panasonic na Tiger. Staki dem wangu Honey Faith azimikiwe na mchuma barabarani.
Ishh.... Asa ulitaka nikuite gelofrendi au osigelo?Kuanzia leo tusijuane yani unaniita mie dem??????
Ishh.... Asa ulitaka nikuite gelofrendi au osigelo?
Hata ukinichukia.... mi nakupenda tu...Usinijie umeishaniuzimooo
Usinijie umeishaniuzimooo
we hutaki gar ww!!! kubali tu jina lolote