Toyota Mark II kwa Tshs. Mil. 5 Tu!

Toyota Mark II kwa Tshs. Mil. 5 Tu!

Diga Diga

Senior Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
187
Reaction score
65
Ni Automatic Transmission, Mileage ni 130,000km na imelipiwa kodi na leseni hadi May. Nataka kwenda kusoma ndio maana naiuza. Ipo Dsm, kwa anayehitaji ani-pm.
 
hebu weka picha tujue ni ipi kwanza ziko aina tofauti mkuu
 
Ni Automatic Transmission, Mileage ni 130,000km na imelipiwa kodi na leseni hadi May. Nataka kwenda kusoma ndio maana naiuza. Ipo Dsm, kwa anayehitaji ani-pm.
Naihitaji lakini siyo kwa hiyo bei- m5, mimi nitakupa m1.5. Kama unaafiki ni Pm kesho tumalize biashara.
 
View attachment 87673 Inside View.JPG Rear View.JPG Side View.JPG
 
nilichojifunza mimi katika biashara za kuuza magari na nyumba au dili zingine, ni hivi " usiangalie ulichopoteza, angalia unachokipata sasa, gari nzuri, kama una nia ya kutafuta ada ya masomo kupia mauzo hayo nakushauri usikatae ofa za mwanzoni utakazokutana nazo, kinyume na hapo watu watazidi kukutajia bei ndogo kwni wauzaji magari wamekuwa wengi kuliko wahitaji hayo magari, pia kwa hela hiyo kaka ni ghali kidogo.
 
nilichojifunza mimi katika biashara za kuuza magari na nyumba au dili zingine, ni hivi " usiangalia ulichopoteza, angalia unachokipata sasa, gari nzuri, kama una nia ya kutafuta adaya masomo kupia mauzo hayo nakushauri usikatae ofa za mwanzoni utakazokutana nazo, kinyume na hapo watu watazidi kukutajia bei ndogo kwni wauzaji magari wameuwa wengi kuliko wahitji hayo magari, pia kwa hela hiyo kaka ni ghali kidogo.

Offer ya MWANZO kapewa 1.3, achukue?
 
mark 2 aka baloon kwa 5m reg AGA duuh hy peleka dodoma , iringa, shinyinga utapata kwa 2m inatosha
 
Kwa ushauri haraka haraka wa gari kama hii ikiwa 4S engine (four) uza kuanzia 4mil ikiwa 1G engine(Six) uza kuanzia 3mil.
Kwa maoni yangu tafadhali.
 
Ni Automatic Transmission, Mileage ni 130,000km na imelipiwa kodi na leseni hadi May. Nataka kwenda kusoma ndio maana naiuza. Ipo Dsm, kwa anayehitaji ani-pm.
kama ni 4 cylinder na engine ni 4s nitafute nikupe 4m. Ni pm namba yako ya simu.
 
Siku hizi naona watu wengi wakitaka kununua gari used hapa Tanzania wanaangalia zaidi number ni za mwaka gani na kupanga bei on the basis ya hizo namba badala ya kuangalia quality ya gari. Kwa utafiti wangu mdogo kuna magari ya namba za zamani kama hiza huyu bwana lakini unakuta gari imetunzwa vizuri na ila quality nzuri kuliko hata yenye numba za karibuni. Ushauri wangu ni kwamba unapotaka kununua gari usiangalie namba angalia quality ya gari lenyewe..
 
Umenena vyema... Like x1000000000
 
Back
Top Bottom