Ipo Toyota Mark II GX 110 Limited ya 2004. Rangi peal, 1980CC, Odometer reading todate 106000. Haijawahi kupata ajali yoyote. Inatumika kwa safari fupi matumizi ya kawaida kifamilia,.engine haijawahi kuguswa na fundi zaidi ya kubadilisha oil. Body is well kept. Minimum price.is 10M only. Kwa mawasiliano piga 0788668808 au 0719999393. Reg no. T 720 CHH