Toyota liteace noah

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
0
Nataka kununua hii gari, naomba nipewe darasa kuhusu spare zake na fuel consumption. Plus any relevant details...

Asanteni...
 

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
0
Aisee msaada tafadhali......hamna mtu anao hii gari anijuze kidogo?
 

E52

Member
Oct 31, 2010
81
0
Actual its very nice car, very spacious, fuel consumption is moderate......nimeitumia for almost 8 months.....but don't buy the one with 4wd
 

Ghost

JF-Expert Member
Apr 20, 2010
428
0
Actual its very nice car, very spacious, fuel consumption is moderate......nimeitumia for almost 8 months.....but don't buy the one with 4wd
No sh1t.....Tena nilikua nafikir 4WD itakua poa zaidi....kweli kuuliza sio ujinga. Thanx man...Tell me which year is ur car??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom