Hi guys
naomba ushauri me navipenda sana hivyo vigari toyota liteace or townace zile ndogo before noah, naomba ubora wake na madhaifu yake na kibongo bongo naweza kupata wapi na kwa kiasi gani.
thanks in advance
thanks man for response it means a lot,
nina pesa yangu ya pamba natamani kupata 4x4 yenye low consumption and enough space ya kutosha family na mizigo. naomba ushauri jamani