Toyota Landcruiser VX for sale

Humo kulikuwa hamna gari bila shaka, huwezi pata VX Limited ilionyooka kwa bei ya mandazi kiasi hicho lazma gari itakuwa na ubovu flani ambao haukuwekwa wazi!
Hapana haliwezi kuwa bovu ndo Bei yake ila tatizo ni mashine kubwa lazima itakuwa na injini 2UZJ V8 with 4700cc ya petrol na hapo kwenye matumizi ya mafuta ndo kwenye kipengele ila 100 series ni ngumu sana naweza thubutu kusema ni zaidi ya 200 series Kwa ugumu

Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
 
Hio pichani ni 1HD-FTE ni mashine ya kazi sema tu tatizo ni automatic gearbox! Watu hawazipendelei sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom