Toyota Landcruiser inauzwa Tshs.12 million

Mkuu umesahau kuweka ni ya mwaka gani na imetembea kms Ngapi?
Bila kusahau umeshusha Engine mara ngapi, na rangi umepuliza mara mgapi.
Thanks men!
 
Ni gari zuri mkuu ila tathmini yake ipo juu sana. Unajua kwa vyovyote vile atakayelinunua ni lazima aipige chini hiyo engine ya 2H kutokana na kuwa ni teknolojia ya zamani, engine kutokuwa na nguvu ya kutosha, kutokuwa na uhakika mzuri wa maintenance, n.k. Kwa kifupi hapa unauza bodi na axles zake. Nakutakia kila la kheri
 
Mkuu umesahau kuweka ni ya mwaka gani na imetembea kms Ngapi?
Bila kusahau umeshusha Engine mara ngapi, na rangi umepuliza mara mgapi.
Thanks men!

Mkuu,
Umeuliza swali zuri sana na umeniacha hoi kwa kicheko, indeed kwa Land cruiser kuuzwa kwa bei hiyo ni lazima uliyoyaainisha yalishafanywa ktk gari hiyo.
Brilliant question/s.
 
Hii gari kwa hiyo 12 mkuu itakupa shida sana kununulika iko juu sana bei
 
hiyo ni gari??acha utani wewe,kama unataka kuuza hiyo sio zaidi ya milioni tatu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom