Toyota Land cruiser inahitajika

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Habari zenu wote?
Nahitaji kunununua gari tajwa hapo juu, iwe ni macho panzi yenye dash board ndogo na iwe kwenye hali nzuri.
Kama unayo njoo PM

Asante.
 
Habari zenu wote?
Nahitaji kunununua gari tajwa hapo juu, iwe ni macho panzi yenye dash board ndogo na iwe kwenye hali nzuri.
Kama unayo njoo PM

Asante.
Tupia hata picha ya mfano tuione hyo TLC macho ya panzi inafananaje!!
 
Hadi umri huo huju macho panzi? Be serious please!!
 
Land cruiser ipi ziko nyingi sana. Vx ziko kama aina 5, gx kama aina5, prado ziko kama aina 8, kilimo kwanza aina 6, kuna hardtop aina kama 6. Hizo ni chaje tuu badhii wewe unasema
 
Mil 15
Karibunj tufanye biashara
0679502252
 
Ipo black new model ya 2016 inatakiwa ml110 kms chache sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…