Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,598
- 25,728
Hii ndio Land cruiser ya 2016 South Africa inakwenda Rand 660,000 change ipo Tsh 160 kwa Rand 1 kwa sasa...
Bavaria XL ni zile kama za wabunge hizi zipo katika Series ya 70 mpaka 79 na hizi ni 79 series.Ungesema Land Cruiser XL.
Isanga family uli nsyobhi, lekagha kutusyobha.....View attachment 385403 View attachment 385405 View attachment 385407
Hii ndio Land cruiser ya 2016 South Africa inakwenda Rand 660,000 change ipo Tsh 160 kwa Rand 1 kwa sasa...
Heci fiki kikolo nga nsyobhi mo mumo humu ngu jhobhela sya ku joni..Isanga family uli nsyobhi, lekagha kutusyobha.....
Kwa Tanzania shillings ni milioni 160? Nina vihela vya urithi hapa kutoka Gamboshi sijajua nivitumiaje. Nikiiendesha kutoka huko mpaka Bongo itachukua siku ngapi?
Kwa Tanzania shillings ni milioni 160? Nina vihela vya urithi hapa kutoka Gamboshi sijajua nivitumiaje. Nikiiendesha kutoka huko mpaka Bongo itachukua siku ngapi?
sasa ukilinunua huko SA ukaja nalo kwa lami mkwaju mpaka mtwara watakuchaji gharama za bandari n.k
Tupieni na details za hayo magari.
2011 Toyota Land Cruiser 79 Model 4.2 Diesel EngineTupieni na details za hayo magari.